Zekaria 10:5
Kwa pamoja watakuwa kama mashujaa 2 wanaokanyaga barabara za matope 2 wakati wa vita. 1 Kwa sababu Bwana yu pamoja nao, 2 watapigana na kuwashinda wapanda farasi. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Joshua 10:14Haijakuwepo siku nyingine kama hiyo kabla au baada, siku ambayo Bwana alimsikiliza mwanadamu. Hakika Bwana alikuwa akiwapigania Israeli.
1 Samuel 16:18Mmoja wa watumishi wake akajibu, “Nimemwona mwana wa Yese Mbethlehemu ambaye anajua kupiga kinubi. Yeye ni mtu hodari na shujaa wa vita. Ni mwenye busara katika kunena, mtu mzuri wa umbo. Bwana yu pamoja naye.”
2 Samuel 22:43Niliwaponda kama mavumbi ya nchi; 2 niliwaponda na kuwakanyaga kama tope barabarani. 1
Psalms 18:42Niliwaponda kama mavumbi yanayopeperushwa na upepo; 2 niliwamwaga nje kama tope barabarani. 1
Psalms 33:16Hakuna mfalme aokokaye kwa ukubwa wa jeshi lake; 2 hakuna shujaa aokokaye kwa wingi wa nguvu zake. 1
Isaiah 8:9Inueni kilio cha vita, enyi mataifa, 2 na mkavunjwevunjwe! 2 Sikilizeni, enyi nyote nchi za mbali. 1 Jiandaeni kwa vita, nanyi mkavunjwevunjwe! 2 Jiandaeni kwa vita, nanyi mkavunjwevunjwe! 1