The Bible Software
bible.softwareZekariaZekaria 10 › Zekaria 10:4

Zekaria 10:4

Kutoka Yuda litatokea Jiwe la pembeni, 2 kutoka kwake vitatoka vigingi vya hema, 2 kutoka kwake utatoka upinde wa vita, 2 kutoka kwake atatoka kila mtawala. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Out of him came forth the corner, out of him the nail, out of him the battle bow, out of him every oppressor together.

In Context

3“Hasira yangu inawaka dhidi ya wachungaji, 2 nami nitawaadhibu viongozi; 1 kwa kuwa Bwana Mwenye Nguvu Zote 2 atalichunga kundi lake, 2 nyumba ya Yuda, 1 naye atawafanya kuwa kama farasi 2 mwenye kiburi akiwa vitani. 1

5Kwa pamoja watakuwa kama mashujaa 2 wanaokanyaga barabara za matope 2 wakati wa vita. 1 Kwa sababu Bwana yu pamoja nao, 2 watapigana na kuwashinda wapanda farasi. 1

Read all of Zekaria 10

Cross References

Genesis 49:24Lakini upinde wake ulibaki imara, 2 mikono yake ikatiwa nguvu, 1 na mkono wa Mwenye Nguvu wa Yakobo, 2 kwa sababu ya Mchungaji, Mwamba wa Israeli, 1

1 Samuel 14:38Kwa hiyo Sauli akasema, “Njooni hapa, ninyi nyote ambao ni viongozi wa jeshi, na tutafute ni dhambi gani imefanywa leo.

Psalms 118:22Jiwe walilolikataa waashi, 2 limekuwa jiwe kuu la pembeni. 1

Isaiah 22:23Nitamgongomea kama kigingi kilicho mahali palipo imara, naye atakuwa kiti cha enzi cha heshima kwa ajili ya nyumba ya baba yake.

Isaiah 41:14Usiogope, ee Yakobo uliye mdudu, 2 ee Israeli uliye mdogo, 1 kwa kuwa Mimi mwenyewe nitakusaidia,” asema Bwana, 2 Mkombozi wako, yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli. 1

Isaiah 54:16“Tazama, ni mimi niliyemuumba mhunzi, 2 yeye afukutaye makaa kuwa moto, 2 na kutengeneza silaha inayofaa kwa kazi yake. 1 Tena ni mimi niliyemwambia mharabu 2 kufanya uharibifu mwingi. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Zekaria 10:4

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Zekaria 10:3Zekaria 10Zekaria 10:5 →