The Bible Software
bible.software › Zekaria › Zekaria 11 › Zekaria 11:10

Zekaria 11:10

Kisha nikachukua fimbo yangu inayoitwa Fadhili nikaivunja, kutangua Agano nililofanya na mataifa yote.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And I took my staff, even Beauty, and cut it asunder, that I might break my covenant which I had made with all the people.

In Context

9nikasema, “Sitakuwa mchungaji wenu. Waache wanaokufa wafe na wanaoangamia waangamie. Wale waliobakia kila mmoja na ale nyama ya mwenzake.”

11Likatanguka siku hiyo, kwa hiyo wale waliodhurika katika kundi, waliokuwa wakiniangalia wakajua kuwa hilo lilikuwa neno la Bwana.

Read all of Zekaria 11

Cross References

Numbers 14:34Kwa miaka arobaini, mwaka mmoja kwa kila siku katika zile siku arobaini mlizoipeleleza nchi, mtateseka kwa ajili ya dhambi zenu, na kujua jinsi ilivyo vibaya kunifanya mimi kuwa adui yenu.’

Psalms 50:2Kutoka Sayuni, penye uzuri mkamilifu, 2 Mungu anaangaza. 1

Psalms 90:17Wema wa Bwana Mungu wetu uwe juu yetu; 2 uzithibitishe kazi za mikono yetu: 2 naam, uzithibitishe kazi za mikono yetu.

Jeremiah 31:31“Siku zinakuja,” asema Bwana, 2 “nitakapofanya agano jipya 1 na nyumba ya Israeli 2 na nyumba ya Yuda. 1

Ezekiel 16:59“ ‘Hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: Nitakushughulikia kama unavyostahili, kwa kuwa umedharau kiapo changu kwa kuvunja Agano.

Daniel 9:26Baada ya majuma sitini na mawili, Mpakwa Mafuta atakatiliwa mbali, wala hatabaki na kitu. Watu wa mtawala atakayekuja watauharibu mji pamoja na mahali patakatifu. Mwisho utakuja kama mafuriko: Vita vitaendelea mpaka mwisho, nao ukiwa umeamriwa.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Zekaria 11:10

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Zekaria 11:9Zekaria 11Zekaria 11:11 →