The Bible Software
bible.softwareZekariaZekaria 11 › Zekaria 11:3

Zekaria 11:3

Sikiliza yowe la wachungaji; 2 malisho yao manono yameangamizwa! 1 Sikia ngurumo za simba; 2 kichaka kilichostawi sana 2 cha Yordani kimeharibiwa! 1 Wachungaji Wawili Wa Kondoo

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

There is a voice of the howling of the shepherds; for their glory is spoiled: a voice of the roaring of young lions; for the pride of Jordan is spoiled.

In Context

2Piga yowe, ee mti wa msunobari, 2 kwa kuwa mwerezi umeanguka; 2 miti ya fahari imeharibiwa! 1 Piga yowe, enyi mialoni ya Bashani, 2 msitu mnene umefyekwa! 1

4Hili ndilo asemalo Bwana Mungu wangu: “Lilishe kundi lililokusudiwa kuchinjwa.

Read all of Zekaria 11

Cross References

Psalms 22:21Niokoe kutoka kinywani mwa simba, 2 niokoe kutoka pembe za mafahali mwitu. 1

Jeremiah 2:15Simba wamenguruma; 2 wamemngurumia. 1 Wameifanya nchi yake kuwa ukiwa; 2 miji yake imeteketezwa, nayo imeachwa haina watu. 1

Jeremiah 7:4Msitumainie maneno ya udanganyifu na kusema, “Hili ni Hekalu la Bwana, Hekalu la Bwana, Hekalu la Bwana!”

Jeremiah 25:34Lieni na kuomboleza, enyi wachungaji, 2 mgaagae mavumbini, 2 ninyi viongozi wa kundi. 1 Kwa maana wakati wenu wa kuchinjwa umewadia; 2 mtaanguka na kuvunjavunjwa 2 kama vyombo vizuri vya udongo. 1

Jeremiah 26:6ndipo nitaifanya nyumba hii kama Shilo na mji huu kuwa kitu cha kulaaniwa na mataifa yote ya dunia.’ ”

Jeremiah 50:44Kama simba anayepanda kutoka vichaka vya Yordani 2 kuja kwenye nchi ya malisho mengi, 1 ndivyo nitamfukuza Babeli kutoka nchi yake ghafula. 2 Ni nani aliye mteule, 2 nitakayemweka kwa ajili ya jambo hili? 1 Ni nani aliye kama mimi, 2 na ni nani awezaye kunipinga? 1 Tena ni mchungaji yupi 2 awezaye kusimama kinyume nami?” 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Zekaria 11:3

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Zekaria 11:2Zekaria 11Zekaria 11:4 →