Zekaria 11:2
Piga yowe, ee mti wa msunobari, 2 kwa kuwa mwerezi umeanguka; 2 miti ya fahari imeharibiwa! 1 Piga yowe, enyi mialoni ya Bashani, 2 msitu mnene umefyekwa! 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
1Fungua milango yako, ee Lebanoni, 2 ili moto uteketeze mierezi yako! 1
Cross References
Isaiah 2:13kwa mierezi yote ya Lebanoni iliyo mirefu sana, 2 na mialoni yote ya Bashani, 1
Isaiah 32:15mpaka Roho amwagwe juu yetu kutoka juu, 2 nalo jangwa kuwa shamba lenye rutuba, 2 na shamba lenye rutuba kuwa kama msitu. 1
Ezekiel 31:2“Mwanadamu, mwambie Farao mfalme wa Misri na makundi yake ya wajeuri: 1 “ ‘Je, ni nani awezaye kulinganishwa 2 na wewe katika fahari. 1
Amos 6:1Ole wenu ninyi mnaostarehe na kuridhika katika Sayuni, 2 na ninyi mnaojisikia salama juu ya Mlima Samaria, 1 ninyi watu mashuhuri wa taifa lililoendelea kuliko mataifa mengine, 2 ambao watu wa Israeli wanawategemea! 1
Luke 23:31Kwa maana kama wamefanya hivi kwa mti mbichi, kwa mti mkavu itakuwaje?”