The Bible Software
bible.softwareZekariaZekaria 12 › Zekaria 12:2

Zekaria 12:2

“Nitakwenda kufanya Yerusalemu kuwa kikombe cha kuyumbisha mataifa yote yanayoizunguka. Yuda utazingirwa kwa vita na Yerusalemu pia.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Behold, I will make Jerusalem a cup of trembling unto all the people round about, when they shall be in the siege both against Judah and against Jerusalem.

In Context

1Hili ni neno la Bwana kuhusu Israeli. Bwana, yeye azitandaye mbingu, awekaye misingi ya dunia na aiumbaye roho ya mwanadamu ndani yake, asema:

3Katika siku hiyo, wakati mataifa yote ya dunia yatakapokusanyika dhidi yake, nitaufanya Yerusalemu kuwa jabali lisilosogezwa kwa mataifa yote. Wote watakaojaribu kulisogeza watajiumiza wenyewe.

Read all of Zekaria 12

Cross References

Psalms 75:8Mkononi mwa Bwana kuna kikombe 2 kilichojaa mvinyo unaotoka povu 2 uliochanganywa na vikolezo; 1 huumimina, nao waovu wote wa dunia 2 hunywa mpaka tone la mwisho. 1

Isaiah 51:22Hili ndilo asemalo Bwana Mwenyezi wako, 2 Mungu wako, yeye ambaye huwatetea watu wake: 1 “Tazama, nimeondoa mkononi mwako 2 kikombe kilichokufanya uyumbayumbe; 1 kutoka kikombe hicho, 2 kikombe cha kunywa cha ghadhabu yangu, 2 kamwe hutakunywa tena. 1

Jeremiah 25:15Hili ndilo Bwana, Mungu wa Israeli, aliloniambia: “Chukua kutoka mkononi mwangu kikombe hiki kilichojaa divai ya ghadhabu yangu, na kuyanywesha mataifa yote ambayo ninakutuma kwao.

Jeremiah 49:12Hili ndilo asemalo Bwana: “Kama wale wasiostahili kukinywea kikombe ni lazima wakinywe, kwa nini wewe usiadhibiwe? Hutakwepa kuadhibiwa, ni lazima ukinywe.

Jeremiah 51:57Nitawafanya maafisa wake na wenye busara walewe, 2 watawala wao, maafisa, pamoja na wapiganaji wao; 1 watalala milele na hawataamka,” 2 asema Mfalme, ambaye jina lake ni Bwana Mwenye Nguvu Zote.

Zechariah 14:14Yuda pia atapigana katika Yerusalemu. Utajiri wa mataifa yote yanayoizunguka Yerusalemu utakusanywa, wingi wa dhahabu, fedha na nguo.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Zekaria 12:2

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Zekaria 12:1Zekaria 12Zekaria 12:3 →