Isaya 51:22
Hili ndilo asemalo Bwana Mwenyezi wako, 2 Mungu wako, yeye ambaye huwatetea watu wake: 1 “Tazama, nimeondoa mkononi mwako 2 kikombe kilichokufanya uyumbayumbe; 1 kutoka kikombe hicho, 2 kikombe cha kunywa cha ghadhabu yangu, 2 kamwe hutakunywa tena. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
21Kwa hiyo sikiliza hili, wewe uliyeteswa, 2 uliyelewa, lakini si kwa mvinyo. 1
Cross References
Psalms 35:1Ee Bwana, pingana na wale wanaopingana nami, 2 upigane na hao wanaopigana nami. 1
Isaiah 29:9Duwaeni na kushangaa, 2 jifanyeni vipofu wenyewe na msione, 1 leweni, lakini si kwa mvinyo, 2 pepesukeni lakini si kwa kileo. 1
Isaiah 51:17Amka, amka! 2 Simama, ee Yerusalemu, 1 wewe uliyekunywa kutoka mkono wa Bwana 2 kikombe cha ghadhabu yake, 1 wewe uliyekunywa mpaka kufikia machujo yake, 2 kikombe kile cha kunywea 2 kiwafanyacho watu kuyumbayumba. 1
Isaiah 54:9“Kwangu mimi jambo hili ni kama siku za Noa, 2 nilipoapa kuwa maji ya Noa kamwe hayatafunika tena dunia. 1 Hivyo sasa nimeapa sitawakasirikia ninyi, 2 kamwe sitawakemea tena. 1
Jeremiah 50:34Lakini Mkombozi wao ana nguvu; 2 Bwana Mwenye Nguvu Zote ndilo jina lake. 1 Atatetea kwa nguvu shauri lao 2 ili alete raha katika nchi yao, 1 lakini ataleta msukosuko 2 kwa wale waishio Babeli. 1
Lamentations 3:15Amenijaza kwa majani machungu 2 na kunishibisha kwa nyongo. 1