bible.software › Zekaria › Zekaria 14 › Zekaria 14:9
Zekaria 14:9
Bwana atakuwa mfalme juu ya dunia yote. Katika siku hiyo atakuwepo Bwana mmoja na jina lake litakuwa jina pekee.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the LORD shall be king over all the earth: in that day shall there be one LORD, and his name one.
In Context
8Siku hiyo, maji yaliyo hai yatatiririka kutoka Yerusalemu, nusu kwenda kwenye bahari ya mashariki, + 14:8 Yaani Bahari ya Chumvi au Bahari Mfu. na nusu kwenda kwenye bahari ya magharibi + 14:8 Yaani Bahari ya Mediterania. wakati wa kiangazi na wakati wa masika.
10Nchi yote kuanzia Geba, kaskazini mwa Yuda, hadi Rimoni, kusini mwa Yerusalemu, itakuwa kama Araba. + 14:10 Araba maana yake Nchi tambarare. Lakini Yerusalemu utainuliwa juu na kubaki mahali pake, toka Lango la Benyamini hadi mahali pa Lango la Kwanza, mpaka kwenye Lango la Pembeni na kutoka Mnara wa Hananeli hadi kwenye mashinikizo ya divai ya mfalme.
Read all of Zekaria 14
Cross References
Deuteronomy 6:4Sikia, ee Israeli: Bwana Mungu wako, Bwana ni mmoja.
Psalms 2:6“Nimemtawaza Mfalme wangu 2 juu ya Sayuni, mlima wangu mtakatifu.” 1 Ushindi Wa Mfalme 1
Psalms 47:2Jinsi gani alivyo wa kutisha, Bwana Aliye Juu Sana, 2 Mfalme mkuu juu ya dunia yote! 1
Psalms 47:8Mungu anatawala juu ya mataifa, 2 Mungu ameketi juu ya kiti chake cha enzi kitakatifu. 1
Psalms 72:8Atatawala kutoka bahari hadi bahari 2 na kutoka Mto + 72:8 Yaani Mto Frati. mpaka miisho ya dunia. 1
Psalms 86:9Ee Bwana, mataifa yote uliyoyafanya 2 yatakuja na kuabudu mbele zako; 2 wataliletea utukufu jina lako. 1
This Verse In Other Editions
Study Zekaria 14:9