The Bible Software
bible.softwareZekariaZekaria 14 › Zekaria 14:8

Zekaria 14:8

Siku hiyo, maji yaliyo hai yatatiririka kutoka Yerusalemu, nusu kwenda kwenye bahari ya mashariki, + 14:8 Yaani Bahari ya Chumvi au Bahari Mfu. na nusu kwenda kwenye bahari ya magharibi + 14:8 Yaani Bahari ya Mediterania. wakati wa kiangazi na wakati wa masika.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And it shall be in that day, that living waters shall go out from Jerusalem; half of them toward the former sea, and half of them toward the hinder sea: in summer and in winter shall it be.

In Context

7Itakuwa siku ya kipekee, isiyo na mchana wala usiku, siku ijulikanayo na Bwana. Jioni inapofika nuru itakuwepo.

9Bwana atakuwa mfalme juu ya dunia yote. Katika siku hiyo atakuwepo Bwana mmoja na jina lake litakuwa jina pekee.

Read all of Zekaria 14

Cross References

Isaiah 35:7Mchanga wa moto utakuwa bwawa la maji, 2 ardhi yenye kiu itabubujika chemchemi. 1 Maskani ya mbweha walikolala hapo awali 2 patamea majani, matete na mafunjo. 1

Isaiah 49:10Hawataona njaa wala kuona kiu, 2 wala hari ya jangwani au jua halitawapiga. 1 Yeye mwenye huruma juu yao atawaonyesha njia, 2 na kuwaongoza kando ya chemchemi za maji. 1

Ezekiel 47:1Yule mtu akanirudisha mpaka kwenye ingilio la Hekalu, nami nikaona maji yakitoka chini ya kizingiti cha Hekalu yakitiririkia upande wa mashariki (kwa maana upande wa mbele wa Hekalu ulielekea mashariki). Maji yalikuwa yakitoka chini upande wa kusini wa Hekalu, kusini mwa madhabahu.

Joel 3:18“Katika siku hiyo milima itadondosha divai mpya, 2 na vilima vitatiririka maziwa; 2 mabonde yote ya Yuda yatatiririka maji. 1 Chemchemi itatiririka kutoka kwenye nyumba ya Bwana 2 na kunywesha Bonde la Shitimu. + 3:18 Au: Bonde la Migunga . 1

John 4:10Yesu akajibu akamwambia, “Kama ungelijua karama ya Mungu, naye ni nani anayekuambia, Nipe maji ninywe, wewe ungelimwomba yeye, naye angelikupa maji yaliyo hai.”

John 5:4Kwa maana malaika alikuwa akishuka wakati fulani, akayatibua maji. Yule aliyekuwa wa kwanza kuingia ndani baada ya maji kutibuliwa alipona ugonjwa wowote aliokuwa nao].

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Zekaria 14:8

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Zekaria 14:7Zekaria 14Zekaria 14:9 →