Zekaria 3:10
“ ‘Katika siku hiyo kila mmoja wenu atamwalika jirani yake akae chini ya mzabibu wake na mtini wake,’ asema Bwana Mwenye Nguvu Zote.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
1 Kings 5:5Kwa hiyo, ninakusudia kujenga Hekalu kwa ajili ya Jina la Bwana, Mungu wangu, kama Bwana alivyomwambia baba yangu Daudi, wakati aliposema, ‘Mwanao nitakayemweka kwenye kiti cha ufalme mahali pako, ndiye atajenga Hekalu kwa ajili ya Jina langu.’
Hosea 2:18Katika siku ile nitafanya Agano kwa ajili yao 2 na wanyama wa kondeni, na ndege wa angani, 2 na viumbe vile vitambaavyo ardhini. 1 Upinde, upanga na vita, 2 nitaondolea mbali katika nchi, 2 ili kwamba wote waweze kukaa salama. 1
Zechariah 2:11“Mataifa mengi yataunganishwa na Bwana siku hiyo, nao watakuwa watu wangu. Nitaishi miongoni mwenu nanyi mtajua kwamba Bwana Mwenye Nguvu Zote amenituma kwenu.