Hosea 2:18
Katika siku ile nitafanya Agano kwa ajili yao 2 na wanyama wa kondeni, na ndege wa angani, 2 na viumbe vile vitambaavyo ardhini. 1 Upinde, upanga na vita, 2 nitaondolea mbali katika nchi, 2 ili kwamba wote waweze kukaa salama. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
17Nitaondoa majina ya Mabaali kutoka midomoni mwake, 2 wala hataomba tena kwa majina yao. 1
19Nitakuposa uwe wangu milele; 2 nitakuposa kwa uadilifu na haki, 2 kwa upendo na huruma. 1
Cross References
Job 5:23Kwa kuwa utakuwa na agano na mawe ya mashamba, 2 nao wanyama wa mwitu watakuwa na amani nawe. 1
Psalms 46:9Anakomesha vita hata miisho ya dunia, 2 anakata upinde na kuvunjavunja mkuki, 2 anateketeza ngao kwa moto. 1
Isaiah 2:4Atahukumu kati ya mataifa 2 na ataamua migogoro ya mataifa mengi. 1 Watafua panga zao ziwe majembe, 2 na mikuki yao kuwa miundu ya kukata matawi. 1 Taifa halitainua upanga dhidi ya taifa jingine, 2 wala hawatajifunza vita tena. 1
Isaiah 2:17Majivuno ya mwanadamu yatashushwa, 2 na kiburi cha wanadamu kitanyenyekezwa, 1 Bwana peke yake ndiye atatukuzwa siku hiyo, 2
Isaiah 26:1Katika siku ile, wimbo huu utaimbwa katika nchi ya Yuda: 1 Tuna mji ulio na nguvu, 2 Mungu huufanya wokovu kuwa kuta zake na maboma yake. 1
Isaiah 65:25Mbwa mwitu na mwana-kondoo watalisha pamoja, 2 naye simba atakula nyasi kama maksai, 2 lakini mavumbi yatakuwa chakula cha nyoka. 1 Hawatadhuru wala kuharibu 2 katika mlima wangu mtakatifu wote,” 4 asema Bwana.