bible.software › Zekaria › Zekaria 4 › Zekaria 4:8
Zekaria 4:8
Kisha neno la Bwana likanijia:
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Moreover the word of the LORD came unto me, saying,
In Context
7“Wewe ni kitu gani, ee mlima mkubwa sana? Mbele ya Zerubabeli wewe utakuwa ardhi tambarare. Kisha ataweka jiwe la juu kabisa la mwisho na watu wakipiga kelele wakisema, ‘Mungu libariki! Mungu libariki!’ ”
9“Mikono ya Zerubabeli iliweka msingi wa Hekalu hili, mikono yake pia italimalizia. Kisha mtajua ya kuwa Bwana Mwenye Nguvu Zote amenituma mimi kwenu.
Read all of Zekaria 4
This Verse In Other Editions
Study Zekaria 4:8