Zekaria 4:7
“Wewe ni kitu gani, ee mlima mkubwa sana? Mbele ya Zerubabeli wewe utakuwa ardhi tambarare. Kisha ataweka jiwe la juu kabisa la mwisho na watu wakipiga kelele wakisema, ‘Mungu libariki! Mungu libariki!’ ”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
8Kisha neno la Bwana likanijia:
Cross References
Ezra 6:15Hekalu lilikamilika siku ya kumi na mbili ya mwezi wa Adari, ndio mwezi wa tatu, katika mwaka wa sita wa utawala wa Mfalme Dario.
Psalms 114:4milima ilirukaruka kama kondoo dume, 2 vilima kama wana-kondoo. 1
Psalms 118:22Jiwe walilolikataa waashi, 2 limekuwa jiwe kuu la pembeni. 1
Isaiah 40:3Sauti ya mtu aliaye: 2 “Itengenezeni jangwani njia ya Bwana, 1 nyoosheni njia kuu nyikani 2 kwa ajili ya Mungu wetu. 1
Isaiah 41:15“Tazama, nitakufanya chombo cha kupuria, 2 kipya na chenye makali, chenye meno mengi. 1 Utaipura milima na kuiponda 2 na kuvifanya vilima kuwa kama makapi. 1
Jeremiah 33:11sauti za shangwe na furaha, sauti za bibi na bwana arusi, na sauti za wale waletao sadaka za shukrani katika nyumba ya Bwana, wakisema, 1 “ ‘ “Mshukuruni Bwana Mwenye Nguvu Zote, 2 kwa maana Bwana ni mwema; 2 upendo wake wadumu milele.” Kwa kuwa nitairudishia nchi baraka kama zilivyokuwa hapo awali,’ asema Bwana.