Zekaria 5:1
Nikatazama tena: na hapo mbele yangu kulikuwa na kitabu kilichoruka!
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Then I turned, and lifted up mine eyes, and looked, and behold a flying roll.
In Context
Cross References
Jeremiah 36:1Katika mwaka wa nne wa Yehoyakimu mwana wa Yosia mfalme wa Yuda, neno hili lilimjia nabii Yeremia kutoka kwa Bwana, kusema:
Jeremiah 36:27Baada ya mfalme kuchoma kile kitabu kilichokuwa na yale maneno Baruku aliyokuwa ameyaandika kutoka kinywani mwa Yeremia, neno la Bwana lilimjia Yeremia likisema:
Zechariah 5:2Akaniuliza, “Unaona nini?” Nikamjibu, “Naona kitabu kinachoruka chenye, urefu wa dhiraa ishirini + 5:2 Dhiraa 20 ni sawa na mita 9. na upana wa dhiraa kumi.” + 5:2 Dhiraa 10 ni sawa mita 4.5.
Revelation 10:2Mkononi mwake alikuwa ameshika kijitabu kilichokuwa kimefunguliwa. Akauweka mguu wake wa kuume juu ya bahari na mguu wake wa kushoto akauweka juu ya nchi kavu.