Zekaria 5:2
Akaniuliza, “Unaona nini?” Nikamjibu, “Naona kitabu kinachoruka chenye, urefu wa dhiraa ishirini + 5:2 Dhiraa 20 ni sawa na mita 9. na upana wa dhiraa kumi.” + 5:2 Dhiraa 10 ni sawa mita 4.5.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
1Nikatazama tena: na hapo mbele yangu kulikuwa na kitabu kilichoruka!
Cross References
Genesis 6:11Wakati huu dunia ilikuwa imejaa uharibifu na ukatili machoni pa Mungu.
Amos 7:8Naye Bwana akaniuliza, “Je, Amosi unaona nini?” Nikamjibu, “Uzi wa timazi.” Kisha Bwana akasema, “Tazama, ninaweka uzi wa timazi miongoni mwa watu wangu Israeli; sitawahurumia tena. 1
Zechariah 4:2Akaniuliza, “Unaona nini?” Nikajibu, “Ninaona kinara cha taa cha dhahabu tupu, nacho kina bakuli juu yake na taa zake saba juu yake, tena iko mirija saba ya kuleta mafuta, kwenye taa zote zilizo juu yake.
Revelation 18:5kwa kuwa dhambi zake zimelundikana hadi mbinguni, 2 naye Mungu ameukumbuka uhalifu wake. 1