Zekaria 5:6
Nikamuuliza, “Ni kitu gani?” Akanijibu, “Ni kikapu cha kupimia.” Kisha akaongeza kusema, “Huu ni uovu wa watu katika nchi nzima.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Ezekiel 44:10“ ‘Walawi walioniacha wakati Waisraeli walipopotoka wakatoka kwangu na kutangatanga kwa kufuata sanamu zao, watachukua adhabu ya dhambi zao.
Amos 8:5mkisema, 1 “Ni lini Mwezi Mwandamo utakapopita 2 ili tupate kuuza nafaka, 1 na Sabato itakwisha lini 2 ili tuweze kuuza ngano?” 1 Mkipunguza vipimo, 2 na kuongeza bei, 2 na kudanganya kwa mizani zisizo sawa, 1
Micah 6:10Je, bado nisahau, ee nyumba ya uovu, 2 hazina yako uliyopata kwa udanganyifu 1 na vipimo vilivyopunguka, 2 ambavyo vimelaaniwa? 1