Zekaria 8:11
Lakini sasa sitawatendea mabaki ya watu hawa kama nilivyowatenda zamani,” asema Bwana Mwenye Nguvu Zote.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 103:9Yeye hatalaumu siku zote, 2 wala haweki hasira yake milele, 1
Isaiah 12:1Katika siku ile utasema: 1 “Nitakusifu wewe, Ee Bwana. 2 Ingawa ulinikasirikia, 1 hasira yako imegeukia mbali 2 nawe umenifariji. 1
Haggai 2:19Je, bado kuna mbegu iliyobakia ghalani? Mpaka sasa, hakuna mzabibu au mtini, mkomamanga wala mzeituni uliozaa tunda. “ ‘Kuanzia leo na kuendelea, nitawabariki.’ ” 1 Zerubabeli Pete Ya Muhuri Ya Bwana
Malachi 3:9Mko chini ya laana, ninyi taifa lote, kwa sababu mnaniibia mimi.