Zekaria 8:10
Kabla ya wakati huo, hapakuwepo na ujira kwa mtu wala mnyama. Hakuna mtu aliyeweza kufanya shughuli yake kwa usalama kwa sababu ya adui yake, kwa kuwa nilikuwa nimemfanya kila mtu adui wa jirani yake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Judges 5:6“Katika siku za Shamgari mwana wa Anathi, 2 katika siku za Yaeli, 1 barabara kuu hazikuwa na watu; 2 wasafiri walipita njia za kando. 1
2 Chronicles 15:5Katika siku hizo hapakuwa na amani kwa yeyote aliyesafiri, kutoka wala kuingia, kwa kuwa wakazi wote wa nchi walikuwa katika machafuko makubwa.
Jeremiah 16:16“Lakini sasa nitawaagiza wavuvi wengi,” asema Bwana, “nao watawavua. Baada ya hilo, nitawaagizia wawindaji wengi, nao watawawinda kwenye kila mlima na kilima, na katika nyufa za miamba.
Amos 9:4Wajapopelekwa uhamishoni na adui zao, 2 huko nako nitaamuru upanga uwaue. 1 Nitawakazia macho yangu kwa mabaya 2 wala si kwa mazuri.” 1
Haggai 2:16Wakati mtu alipoendea lundo la nafaka la vipimo ishirini, kulikuwa na vipimo kumi tu. Wakati mtu alipoendea pipa la mvinyo ili kuchota vipimo hamsini, kulikuwa na vipimo ishirini tu.