bible.software › Zekaria › Zekaria 8 › Zekaria 8:18
Zekaria 8:18
Neno la Bwana Mwenye Nguvu Zote likanijia tena.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the word of the LORD of hosts came unto me, saying,
In Context
17usipange mabaya dhidi ya jirani yako, wala msipende kuapa kwa uongo. Nayachukia yote haya,” asema Bwana.
19Hili ndilo asemalo Bwana Mwenye Nguvu Zote: “Saumu za miezi ya nne, tano, saba na kumi itakuwa sikukuu za furaha na za shangwe kwa Yuda. Kwa hiyo uipende kweli na amani.”
Read all of Zekaria 8
Cross References
Acts 2:5Basi walikuwepo Yerusalemu Wayahudi wanaomcha Mungu kutoka kila taifa chini ya mbingu.
This Verse In Other Editions
Study Zekaria 8:18