Zekaria 8:17
usipange mabaya dhidi ya jirani yako, wala msipende kuapa kwa uongo. Nayachukia yote haya,” asema Bwana.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
18Neno la Bwana Mwenye Nguvu Zote likanijia tena.
Cross References
Psalms 5:5Wenye kiburi hawawezi kusimama mbele yako, 2 unawachukia wote watendao mabaya. 1
Psalms 101:3Sitaweka mbele ya macho yangu 2 kitu kiovu. 1 Ninayachukia matendo ya watu wasio na imani; 2 hawatashikamana nami. 1
Proverbs 6:14ambaye hupanga ubaya 3 kwa udanganyifu moyoni mwake: 2 daima huchochea fitina. 1
Proverbs 6:18moyo uwazao mipango miovu, 3 miguu iliyo myepesi kukimbilia uovu, 3
Jeremiah 4:2ikiwa kwa kweli, kwa haki na kwa unyofu utaapa, 2 ‘Kwa hakika kama vile Bwana aishivyo,’ 1 ndipo mataifa yatakapobarikiwa naye 2 na katika yeye watajitukuza.”
Jeremiah 44:4Tena na tena, niliwatuma watumishi wangu manabii ambao walisema, ‘Msifanye jambo hili la kuchukiza ambalo nalichukia!’