Zekaria 9:17
Jinsi gani watavutia na kuwa wazuri! 2 Nafaka itawastawisha vijana wanaume, 2 nayo divai mpya vijana wanawake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 15:11“Ni nani miongoni mwa miungu aliye kama wewe, Ee Bwana? 2 Ni nani kama Wewe: 3 uliyetukuka katika utakatifu, 3 utishaye katika utukufu, 3 ukitenda maajabu? 1
Psalms 36:7Upendo wako usiokoma 2 ni wa thamani mno! 1 Watu wakuu na wadogo 2 hujificha uvulini wa mbawa zako. 1
Psalms 50:2Kutoka Sayuni, penye uzuri mkamilifu, 2 Mungu anaangaza. 1
Psalms 86:15Lakini wewe, Ee Bwana, ni Mungu wa huruma na neema, 2 si mwepesi wa hasira, bali ni mwingi wa upendo na uaminifu. 1
Psalms 144:12Kisha wana wetu wakati wa ujana wao 2 watakuwa kama mimea iliyotunzwa vizuri, 1 binti zetu watakuwa kama nguzo zilizoviringwa 2 kurembesha jumba la kifalme. 1
Song of Solomon 5:10Mpenzi wangu anangʼaa, tena ni mwekundu, 2 wa kuvutia miongoni mwa wanaume kumi elfu. 1