The Bible Software
bible.software › Zekaria › Zekaria 9 › Zekaria 9:16

Zekaria 9:16

Bwana Mungu wao atawaokoa siku hiyo 2 kama kundi la watu wake. 1 Watangʼara katika nchi yake 2 kama vito vya thamani kwenye taji. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And the LORD their God shall save them in that day as the flock of his people: for they shall be as the stones of a crown, lifted up as an ensign upon his land.

In Context

15na Bwana Mwenye Nguvu Zote atawalinda. 1 Wataangamiza na kushinda 2 kwa mawe ya kutupa kwa kombeo. 1 Watakunywa na kunguruma kama waliolewa mvinyo; 2 watajaa kama bakuli linalotumika kunyunyizia 2 kwenye pembe za madhabahu. 1

17Jinsi gani watavutia na kuwa wazuri! 2 Nafaka itawastawisha vijana wanaume, 2 nayo divai mpya vijana wanawake.

Read all of Zekaria 9

Cross References

Exodus 28:21Patakuwa na vito kumi na viwili, kila kimoja kwa jina mojawapo la wana wa Israeli, kila kimoja kichorwe kama muhuri kikiwa na jina mojawapo la yale makabila kumi na mawili.

Isaiah 11:10Katika siku hiyo, Shina la Yese atasimama kama bendera kwa ajili ya mataifa. Mataifa yatakusanyika kwake, na mahali pake pa kupumzikia patakuwa utukufu.

Isaiah 54:12Nitafanya minara yako ya akiki, 2 malango yako kwa vito vingʼaavyo, 2 nazo kuta zako zote za vito vya thamani. 1

Isaiah 60:14Wana wa wale waliokuonea watakuja wakisujudu mbele yako, 2 wote wanaokudharau watasujudu kwenye miguu yako, 1 nao watakuita Mji wa Bwana, 2 Sayuni ya Aliye Mtakatifu wa Israeli. 1

Jeremiah 23:3“Mimi mwenyewe nitayakusanya mabaki ya kundi langu kutoka nchi zote ambazo nimewafukuzia, nami nitawarudisha katika malisho yao, mahali ambapo watazaa na kuongezeka idadi yao.

Ezekiel 34:11“ ‘Kwa kuwa hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: Mimi mwenyewe nitawaulizia kondoo wangu na kuwatafuta.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Zekaria 9:16

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Zekaria 9:15Zekaria 9Zekaria 9:17 →