The Bible Software
bible.softwareYeremiaYeremia 49 › Yeremia 49:23

Yeremia 49:23

Kuhusu Dameski: 1 “Hamathi na Arpadi imetahayarika, 2 kwa kuwa wamesikia habari mbaya. 1 Wamevunjika moyo na wametaabika 2 kama bahari iliyochafuka. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Concerning Damascus. Hamath is confounded, and Arpad: for they have heard evil tidings: they are fainthearted; there is sorrow on the sea; it cannot be quiet.

In Context

22Tazama! Tai atapaa juu angani na kuruka chini kwa ghafula, 2 akitandaza mabawa yake juu ya Bosra. 1 Katika siku hiyo, mioyo ya mashujaa wa Edomu 2 itakuwa kama moyo wa mwanamke katika utungu wa kuzaa. 1 Ujumbe Kuhusu Dameski

24Dameski amedhoofika, 2 amegeuka na kukimbia, 2 hofu ya ghafula imemkamata sana; 1 amepatwa na uchungu na maumivu, 2 maumivu kama ya mwanamke katika utungu wa kuzaa. 1

Read all of Yeremia 49

Cross References

Genesis 15:2Lakini Abramu akasema, “Ee Bwana Mwenyezi, utanipa nini na mimi sina hata mtoto na atakayerithi nyumba yangu ni huyu Eliezeri Mdameski?”

Deuteronomy 20:8Kisha maafisa wataongeza haya, “Je, kuna mtu anayeogopa ama kufa moyo? Yeye na arudi nyumbani ili ndugu zake nao wasije wakafa moyo pia.”

Joshua 14:8Lakini ndugu zangu tuliopanda nao waliifanya mioyo ya watu iyeyuke kwa hofu. Bali mimi, nilimfuata Bwana Mungu wangu kwa moyo wote.

2 Samuel 17:10Basi hata yule askari hodari kuliko wengine wote, ambaye moyo wake ni kama wa simba, atayeyuka kwa hofu, kwa maana Israeli yote wanajua kwamba baba yako ni mpiganaji na kwamba wale walio pamoja naye ni watu hodari.

2 Kings 17:24Mfalme wa Ashuru akawaleta watu kutoka Babeli, Kutha, Ava, Hamathi na Sefarvaimu na kuwaweka katika miji ya Samaria badala ya Waisraeli. Wakaimiliki Samaria na kuishi katika miji yake.

2 Kings 19:13Yuko wapi mfalme wa Hamathi, mfalme wa Arpadi, mfalme wa mji wa Sefarvaimu, au wa Hena au wa Iva?” 1 Maombi Ya Hezekia

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Yeremia 49:23

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Yeremia 49:22Yeremia 49Yeremia 49:24 →