Zekaria 9:8
Lakini nitailinda nyumba yangu 2 dhidi ya majeshi ya wanyangʼanyi. 1 Kamwe mdhalimu hatashambulia watu wangu tena, 2 kwa maana sasa ninawachunga. 1 Kuja Kwa Mfalme Wa Sayuni 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 32:1Yakobo pia akaondoka akaenda zake, nao malaika wa Mungu wakakutana naye.
Exodus 3:9Sasa kilio cha Waisraeli kimenifikia, nami nimeona jinsi Wamisri wanavyowatesa.
2 Kings 19:34Nitaulinda mji huu na kuuokoa, 2 kwa ajili yangu mwenyewe, 2 na kwa ajili ya Daudi mtumishi wangu.”
2 Kings 24:1Wakati wa utawala wa Yehoyakimu, Nebukadneza mfalme wa Babeli aliishambulia nchi, naye Yehoyakimu akawa mtumwa wake kwa miaka mitatu. Lakini hatimaye akabadili mawazo yake na kuasi dhidi ya Nebukadneza.
Psalms 46:1Mungu kwetu sisi ni kimbilio na nguvu, 2 msaada utakaoonekana tele wakati wa mateso. 1
Psalms 125:1Wale wamtumainio Bwana ni kama mlima Sayuni, 2 ambao hauwezi kutikisika, bali wadumu milele. 1