Zekaria 9:7
Nitaondoa damu vinywani mwao, 2 chakula kile walichokatazwa kati ya meno yao. 1 Mabaki yao yatakuwa mali ya Mungu wetu, 2 nao watakuwa viongozi katika Yuda, 2 naye Ekroni atakuwa kama Wayebusi. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
6Wageni watakalia mji wa Ashdodi, 2 nami nitakatilia mbali kiburi cha Wafilisti. 1
Cross References
1 Samuel 17:34Lakini Daudi akamwambia Sauli, “Mtumishi wako amekuwa akichunga kondoo wa baba yake. Wakati simba au dubu alikuja na kuchukua kondoo kutoka kundi,
2 Samuel 24:18Siku hiyo Gadi akamwendea Daudi na kumwambia, “Panda ukamjengee Bwana madhabahu kwenye sakafu ya kupuria ya Arauna Myebusi.”
1 Chronicles 11:4Daudi na Waisraeli wote wakaenda Yerusalemu (ndio Yebusi). Nao Wayebusi walioishi humo
Psalms 3:7Ee Bwana, amka! 2 Niokoe, Ee Mungu wangu! 1 Wapige adui zangu wote kwenye taya, 2 vunja meno ya waovu. 1
Isaiah 11:12Atainua bendera kwa mataifa 2 na kuwakusanya Waisraeli walioko uhamishoni; 1 atawakusanya watu wa Yuda waliotawanyika 2 kutoka pembe nne za dunia. 1
Isaiah 49:22Hili ndilo asemalo Bwana Mwenyezi: 1 “Tazama, nitawaashiria watu wa Mataifa, 2 nitainua bendera yangu kwa mataifa; 1 watawaleta wana wako mikononi yao, 2 na kuwabeba binti zenu juu ya mabega yao. 1