The Bible Software
bible.softwareZephaniahZephaniah 3 › Zephaniah 3:13

Zephaniah 3:13

Mabaki ya Israeli hayatafanya kosa; 2 hawatasema uongo, 1 wala udanganyifu hautakuwa 2 katika vinywa vyao. 1 Watakula na kulala 2 wala hakuna yeyote 2 atakayewaogopesha.” 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

The remnant of Israel shall not do iniquity, nor speak lies; neither shall a deceitful tongue be found in their mouth: for they shall feed and lie down, and none shall make them afraid.

In Context

12Lakini nitakuachia ndani yako 2 wapole na wanyenyekevu, 2 ambao wanatumaini jina la Bwana. 1

14Imba, ee Binti Sayuni; 2 paza sauti, ee Israeli! 1 Furahi na kushangilia kwa moyo wako wote, 2 ee Binti Yerusalemu! 1

Read all of Zephaniah 3

Cross References

2 Chronicles 20:30Ufalme wa Yehoshafati ukawa na amani, kwa kuwa Mungu wake alikuwa amemstarehesha pande zote. 1 Mwisho Wa Utawala Wa Yehoshafati (1 Wafalme 22:41-50)

Psalms 119:3Wasiofanya lolote lililo baya, 2 wanaoenenda katika njia zake. 1

Isaiah 10:20Katika siku ile, mabaki ya Israeli, 2 walionusurika wa nyumba ya Yakobo, 1 hawatamtegemea tena yeye aliyewapiga, 2 lakini watamtegemea kwa kweli 2 Bwana Aliye Mtakatifu wa Israeli. 1

Isaiah 17:2Miji ya Aroeri itaachwa 2 na itaachiwa mifugo ambayo italala huko, 2 bila yeyote wa kuyaogopesha. 1

Isaiah 54:14Kwa haki utathibitika: 1 Kuonewa kutakuwa mbali nawe; 2 hutaogopa chochote. 1 Hofu itakuwa mbali nawe; 2 haitakukaribia wewe. 1

Isaiah 63:8Alisema, “Hakika wao ni watu wangu, 2 wana ambao hawatanidanganya”; 2 hivyo akawa Mwokozi wao. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Zephaniah 3:13

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Zephaniah 3:12Zephaniah 3Zephaniah 3:14 →