The Bible Software
bible.software2 Chronicles2 Chronicles 20 › 2 Chronicles 20:30

2 Chronicles 20:30

Ufalme wa Yehoshafati ukawa na amani, kwa kuwa Mungu wake alikuwa amemstarehesha pande zote. 1 Mwisho Wa Utawala Wa Yehoshafati (1 Wafalme 22:41-50)

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

So the realm of Jehoshaphat was quiet: for his God gave him rest round about.

In Context

29Hofu ya Mungu ikazipata falme zote za nchi waliposikia jinsi Bwana alivyokuwa amepigana dhidi ya adui za Israeli.

31Hivyo Yehoshafati akatawala Yuda. Alikuwa na umri wa miaka thelathini na mitano alipoanza kutawala, akatawala katika Yerusalemu kwa miaka ishirini na mitano. Mama yake aliitwa Azuba binti Shilhi.

Read all of 2 Chronicles 20

Cross References

Joshua 23:1Baada ya muda mrefu kupita, naye Bwana akawa amewapa Israeli pumziko mbele ya adui zao wote waliowazunguka, Yoshua, wakati huo akiwa mzee na umri ukiwa umeendelea sana,

2 Chronicles 14:6Akajenga miji yenye ngome katika Yuda, wakati nchi ikiwa na amani. Hakuna mtu yeyote aliyepigana vita naye katika miaka hiyo, kwa kuwa Bwana alimstarehesha.

Job 11:19Utalala, wala hakuna atakayekuogofya, 2 naam, wengi watajipendekeza kwako. 1

Proverbs 3:24ulalapo, hautaogopa; 2 ulalapo usingizi wako utakuwa mtamu. 1

Zephaniah 3:13Mabaki ya Israeli hayatafanya kosa; 2 hawatasema uongo, 1 wala udanganyifu hautakuwa 2 katika vinywa vyao. 1 Watakula na kulala 2 wala hakuna yeyote 2 atakayewaogopesha.” 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 2 Chronicles 20:30

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 2 Chronicles 20:292 Chronicles 202 Chronicles 20:31 →