1 Nyakati 1:36
Wana wa Elifazi walikuwa: 2 Temani, Omari, Sefo, Gatamu na Kenazi; 2 Elifazi kwa Timna akamzaa Amaleki. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The sons of Eliphaz; Teman, and Omar, Zephi, and Gatam, Kenaz, and Timna, and Amalek.
In Context
35Wana wa Esau walikuwa: 2 Elifazi, Reueli, Yeushi, Yalamu na Kora. 1
Cross References
1 Chronicles 1:53Kenazi, Temani, Mibsari,
Jeremiah 49:20Kwa hiyo, sikia kile Bwana alichokipanga dhidi ya Edomu, 2 kile alichokusudia dhidi ya wale waishio Temani: 1 Aliye mchanga katika kundi ataburutwa mbali; 2 yeye ataharibu kabisa malisho yao kwa sababu yao. 1
Obadiah 1:9Ee Temani, mashujaa wako watatiwa hofu, 2 kila mmoja katika milima ya Esau 2 ataangushwa chini kwa kuchinjwa. 1