Yeremia 49:20
Kwa hiyo, sikia kile Bwana alichokipanga dhidi ya Edomu, 2 kile alichokusudia dhidi ya wale waishio Temani: 1 Aliye mchanga katika kundi ataburutwa mbali; 2 yeye ataharibu kabisa malisho yao kwa sababu yao. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 33:11Lakini mipango ya Bwana inasimama imara milele, 2 makusudi ya moyo wake kwa vizazi vyote. 1
Isaiah 14:24Bwana Mwenye Nguvu Zote ameapa, 1 “Hakika, kama vile nilivyopanga, ndivyo itakavyokuwa, 2 nami kama nilivyokusudia, ndivyo itakavyosimama. 1
Jeremiah 37:10Hata kama mngelishinda jeshi lote la Wakaldayo linalowashambulia ninyi, na wakawa ni watu waliojeruhiwa tu waliobaki kwenye mahema yao, wangetoka na kuuchoma mji huu moto.”
Jeremiah 49:13Ninaapa kwa nafsi yangu,” asema Bwana, “kwamba Bosra utakuwa magofu na kitu cha kutisha, cha aibu na cha kulaania; miji yake yote itakuwa magofu milele.” 1
Jeremiah 50:45Kwa hiyo, sikia kile Bwana alichokipanga dhidi ya Babeli, 2 kile alichokusudia dhidi ya nchi ya Wakaldayo: 1 Aliye mchanga katika kundi ataburutwa mbali. 2 Yeye ataharibu kabisa malisho yao kwa sababu yao. 1
Malachi 1:3lakini nikamchukia Esau, nami nimeifanya milima yake kuwa ukiwa, na urithi wake nimewapa mbweha wa jangwani.”