Obadia 1:9
Ee Temani, mashujaa wako watatiwa hofu, 2 kila mmoja katika milima ya Esau 2 ataangushwa chini kwa kuchinjwa. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Deuteronomy 2:5Msiwachokoze kwa vita kwa maana sitawapa ninyi sehemu yoyote ya nchi yao, hata sehemu ya kutosha kuweka wayo wenu juu yake. Nimempa Esau nchi ya vilima ya Seiri kama yake mwenyewe.
Job 2:11Basi marafiki watatu wa Ayubu, ndio Elifazi Mtemani, na Bildadi Mshuhi na Sofari Mnaamathi, waliposikia juu ya taabu yote iliyompata Ayubu, wakajipanga toka manyumbani mwao, nao wakakutana pamoja kwa makubaliano kwenda kumtuliza katika taabu hiyo na kumfariji.
Isaiah 19:16Katika siku ile Wamisri watakuwa kama wanawake. Watatetemeka kwa hofu mbele ya mkono wa Bwana Mwenye Nguvu Zote anaoinua dhidi yao.
Isaiah 63:1Ni nani huyu anayekuja kutoka Edomu, 2 kutoka Bosra, mwenye mavazi yaliyotiwa madoa mekundu? 1 Ni nani huyu, aliyevikwa joho la kifahari, 2 anayetembea kwa ukuu wa nguvu zake? 1 “Mimi ndimi, nisemaye katika haki, 2 mwenye nguvu wa kuokoa.” 1
Jeremiah 49:20Kwa hiyo, sikia kile Bwana alichokipanga dhidi ya Edomu, 2 kile alichokusudia dhidi ya wale waishio Temani: 1 Aliye mchanga katika kundi ataburutwa mbali; 2 yeye ataharibu kabisa malisho yao kwa sababu yao. 1
Jeremiah 50:36Upanga dhidi ya manabii wake wa uongo! 2 Watakuwa wapumbavu. 1 Upanga dhidi ya mashujaa wake! 2 Watajazwa na hofu kuu 1