Genesis 36:20
Hawa ndio walikuwa wana wa Seiri, Mhori, waliokuwa wakiishi katika nchi ile: 2 Lotani, Shobali, Sibeoni, Ana,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
19Hawa ndio waliokuwa wana wa Esau (ndiye Edomu), na hawa ndio waliokuwa wakuu wao.
21Dishoni, Eseri na Dishani. Hawa ndio wana wa Seiri huko Edomu waliokuwa wakuu kwa Wahori. 1
Cross References
Genesis 14:6na Wahori katika nchi ya kilima cha Seiri, hadi El-Parani karibu na jangwa.
Genesis 36:22Wana wa Lotani walikuwa: 2 Hori na Homamu. Timna alikuwa dada yake Lotani. 1
Deuteronomy 2:12Wahori waliishi Seiri, lakini wazao wa Esau waliwafukuza. Waliwaangamiza Wahori na kukaa mahali pao, kama Waisraeli walivyofanya katika nchi ambayo Bwana aliwapa kama milki yao.)
1 Chronicles 1:38Wana wa Seiri walikuwa: 2 Lotani, Shobali, Sibeoni, Ana, Dishoni, Eseri na Dishani. 1