1 Nyakati 1:5
Wana wa Yafethi walikuwa: 2 Gomeri, Magogu, Madai, Yavani, Tubali, Mesheki na Tirasi. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The sons of Japheth; Gomer, and Magog, and Madai, and Javan, and Tubal, and Meshech, and Tiras.
In Context
4Wana wa Noa walikuwa: 2 Shemu, Hamu na Yafethi. 2 Wana Wa Yafethi 1
6Wana wa Gomeri walikuwa: 2 Ashkenazi, Rifathi na Togarma. 1
Cross References
Ezekiel 27:13“ ‘Uyunani, Tubali na Mesheki, walifanya biashara nawe, walibadilisha watumwa na vyombo vya shaba kwa bidhaa zako.
Ezekiel 38:6pia Gomeri pamoja na vikosi vyake vyote, na Beth-Togarma kutoka kaskazini ya mbali pamoja na vikosi vyake vyote, mataifa mengi wakiwa pamoja nawe.