1 Nyakati 1:6
Wana wa Gomeri walikuwa: 2 Ashkenazi, Rifathi na Togarma. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the sons of Gomer; Ashchenaz, and Riphath, and Togarmah.
In Context
5Wana wa Yafethi walikuwa: 2 Gomeri, Magogu, Madai, Yavani, Tubali, Mesheki na Tirasi. 1
7Wana wa Yavani walikuwa: 2 Elisha, Tarshishi, Kitimu na Rodanimu. 2 Wana Wa Hamu 1
Cross References
Genesis 10:3Wana wa Gomeri walikuwa: 2 Ashkenazi, Rifathi na Togarma. 1