Genesis 10:3
Wana wa Gomeri walikuwa: 2 Ashkenazi, Rifathi na Togarma. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the sons of Gomer; Ashkenaz, and Riphath, and Togarmah.
In Context
2Wana wa Yafethi walikuwa: 2 Gomeri, Magogu, Madai, Yavani, Tubali, Mesheki na Tirasi. 1
4Wana wa Yavani walikuwa: 2 Elisha, Tarshishi, Kitimu na Rodanimu.
Cross References
Ezekiel 27:14“ ‘Watu wa Beth-Togarma walibadilisha farasi wa mizigo, farasi wa vita na nyumbu kwa mali zako.