1 Nyakati 12:8
Baadhi ya Wagadi wakajitenga na kujiunga na Daudi katika ngome yake huko jangwani. Walikuwa mashujaa hodari, waliokuwa tayari kwa vita na wenye uwezo wa kutumia ngao na mkuki. Nyuso zao zilikuwa nyuso za simba na walikuwa na wepesi kama paa milimani. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
7Yoela na Zebadia, wana wa Yerohamu, kutoka Gedori.
9Ezeri alikuwa mkuu wao, 1 Obadia alikuwa wa pili katika uongozi, Eliabu wa tatu, 1
Cross References
1 Samuel 23:29Naye Daudi akakwea kutoka huko na kuishi katika ngome za En-Gedi.
2 Samuel 1:23“Sauli na Yonathani, 2 maishani walipendwa na kuneemeka, 2 na katika kifo hawakutengana. 1 Walikuwa wepesi kuliko tai, 2 walikuwa na nguvu kuliko simba. 1
2 Samuel 17:10Basi hata yule askari hodari kuliko wengine wote, ambaye moyo wake ni kama wa simba, atayeyuka kwa hofu, kwa maana Israeli yote wanajua kwamba baba yako ni mpiganaji na kwamba wale walio pamoja naye ni watu hodari.
1 Chronicles 11:16Wakati huo Daudi alikuwa katika ngome, na kambi ya Wafilisti ilikuwa huko Bethlehemu.
1 Chronicles 12:16Wabenyamini wengine na baadhi ya watu kutoka Yuda pia walikuja kwa Daudi katika ngome yake.
Proverbs 6:5Jiweke huru, kama swala mkononi mwa mwindaji, 2 kama ndege kutoka kwenye mtego wa mwindaji. 1