The Bible Software
bible.software › 2 Samweli › 2 Samweli 1 › 2 Samweli 1:23

2 Samweli 1:23

“Sauli na Yonathani, 2 maishani walipendwa na kuneemeka, 2 na katika kifo hawakutengana. 1 Walikuwa wepesi kuliko tai, 2 walikuwa na nguvu kuliko simba. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Saul and Jonathan were lovely and pleasant in their lives, and in their death they were not divided: they were swifter than eagles, they were stronger than lions.

In Context

22Kutokana na damu ya waliouawa, 2 kutokana na miili ya wenye nguvu, 1 ule upinde wa Yonathani haukugeuka nyuma. 2 Upanga wa Sauli haukurudi bure. 1

24“Enyi binti za Israeli, 2 lieni kwa ajili ya Sauli, 1 ambaye aliwavika nguo 2 nyekundu na maridadi, 1 ambaye aliremba mavazi yenu 2 kwa mapambo ya dhahabu. 1

Read all of 2 Samweli 1

Cross References

Judges 14:18Siku ya saba kabla ya jua kutua, watu wa mji wakamwambia Samsoni, 1 “Ni nini kitamu kama asali? 2 Ni nini chenye nguvu kama simba?” Samsoni akawaambia, 1 “Kama hamkulima na mtamba wangu, 2 hamngeweza kufumbua 2 kitendawili changu.”

1 Samuel 20:2Yonathani akajibu, “La hasha! Hutakufa! Tazama, baba yangu hafanyi kitu chochote, kikubwa au kidogo, bila kuniambia mimi. Kwa nini anifiche hili? Sivyo ilivyo!”

2 Samuel 2:18Wana watatu wa Seruya walikuwako huko: nao ni Yoabu, Abishai na Asaheli. Basi huyo Asaheli alikuwa na mbio kama paa.

1 Chronicles 12:8Baadhi ya Wagadi wakajitenga na kujiunga na Daudi katika ngome yake huko jangwani. Walikuwa mashujaa hodari, waliokuwa tayari kwa vita na wenye uwezo wa kutumia ngao na mkuki. Nyuso zao zilikuwa nyuso za simba na walikuwa na wepesi kama paa milimani. 1

Proverbs 30:30simba, mwenye nguvu miongoni mwa wanyama, 2 asiyerudi nyuma kwa chochote; 1

Lamentations 4:19Waliotufuatia walikuwa wepesi 2 kuliko tai angani; 2 walitusaka juu milimani 2 na kutuvizia jangwani. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 2 Samweli 1:23

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 2 Samweli 1:222 Samweli 12 Samweli 1:24 →