1 Nyakati 12:32
Watu wa Isakari, waliofahamu majira na kujua kile ambacho Israeli inapasa kufanya, walikuwa viongozi 200, pamoja na jamaa zao wote chini ya uongozi wao. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Deuteronomy 33:17Katika fahari yeye ni kama fahali mzaliwa wa kwanza; 2 pembe zake ni pembe za nyati, 1 na kwa pembe hizo atapiga mataifa, 2 hata yaliyo miisho ya dunia. 1 Hivyo ndivyo yalivyo makumi elfu ya Efraimu; 2 hivyo ndivyo yalivyo maelfu ya Manase.”
Esther 1:13Kwa kuwa ilikuwa desturi ya mfalme kupata ushauri kwa wataalamu katika mambo ya sheria na haki, alizungumza na watu wenye busara, ambao walijua nyakati,
Proverbs 24:5Mtu mwenye hekima ana uwezo mkubwa, 2 naye mtu mwenye maarifa huongeza nguvu, 1
Ecclesiastes 9:18Hekima ni bora kuliko silaha za vita, 2 lakini mwenye dhambi mmoja 2 huharibu mema mengi.
Isaiah 33:6Atakuwa msingi ulio imara kwa wakati wenu, 2 ghala za wokovu tele, hekima na maarifa; 2 kumcha Bwana ni ufunguo wa hazina hii. 1
Matthew 16:3Nanyi wakati wa asubuhi mnasema, ‘Leo kutakuwa na dhoruba, kwa sababu anga ni nyekundu na mawingu yametanda.’ Mnajua jinsi ya kupambanua kule kuonekana kwa anga, lakini hamwezi kupambanua dalili za nyakati.