1 Chronicles 13:12
Siku ile Daudi akamwogopa Mungu naye akauliza. “Nitawezaje kulichukua Sanduku la Mungu kwangu?”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And David was afraid of God that day, saying, How shall I bring the ark of God home to me?
In Context
Cross References
Numbers 17:12Waisraeli wakamwambia Mose, “Tutakufa! Tumepotea, sote tumepotea!
1 Samuel 6:20nao watu wa Beth-Shemeshi wakauliza, “Ni nani awezaye kusimama mbele za Bwana, huyu Mungu aliye mtakatifu? Sanduku litapanda kwenda kwa nani kutoka hapa?”
1 Chronicles 21:30Lakini Daudi hakuthubutu kuisogelea ili kumuuliza Mungu, kwa sababu aliuogopa upanga wa yule malaika wa Bwana.
Psalms 119:120Mwili wangu unatetemeka kwa kukuogopa wewe, 2 ninaziogopa sheria zako. 2 Kuitii Sheria Ya Bwana 1
Matthew 25:24“Kisha yule mtumishi aliyepokea talanta moja akaja, akasema, ‘Bwana, nilijua kwamba wewe ni mtu mgumu, unayevuna mahali usipopanda na kukusanya mahali usipotawanya mbegu.