Numbers 17:12
Waisraeli wakamwambia Mose, “Tutakufa! Tumepotea, sote tumepotea!
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the children of Israel spake unto Moses, saying, Behold, we die, we perish, we all perish.
In Context
11Mose akafanya kama Bwana alivyomwamuru.
13Yeyote akaribiaye Maskani ya Bwana atakufa. Je, sisi sote tutakufa?”
Cross References
Numbers 26:11Pamoja na hayo, hao ukoo wa Kora hawakufa.
Proverbs 19:3Upumbavu wa mtu mwenyewe huharibu maisha yake 2 hata hivyo moyo wake humkasirikia Bwana. 1
Isaiah 57:16Sitaendelea kulaumu milele, 2 wala sitakasirika siku zote, 1 kwa kuwa roho ya mwanadamu 2 ingezimia mbele zangu: 2 yaani pumzi ya mwanadamu niliyemuumba. 1