1 Chronicles 21:30
Lakini Daudi hakuthubutu kuisogelea ili kumuuliza Mungu, kwa sababu aliuogopa upanga wa yule malaika wa Bwana.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Deuteronomy 10:12Na sasa, ee Israeli, Bwana Mungu wako anataka nini kwako ila kumcha Bwana Mungu wako, kwenda katika njia zake, kumpenda na kumtumikia Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote na kwa roho yako yote,
1 Chronicles 13:12Siku ile Daudi akamwogopa Mungu naye akauliza. “Nitawezaje kulichukua Sanduku la Mungu kwangu?”
Job 13:21Ondoa mkono wako uwe mbali nami, 2 nawe uache kuniogofya kwa hofu zako kuu. 1
Job 23:15Hiyo ndiyo sababu ninaingiwa na hofu mbele zake; 2 nifikiriapo haya yote ninamwogopa. 1
Psalms 119:120Mwili wangu unatetemeka kwa kukuogopa wewe, 2 ninaziogopa sheria zako. 2 Kuitii Sheria Ya Bwana 1
Jeremiah 10:7Ni nani ambaye haimpasi kukuheshimu wewe, 2 Ee Mfalme wa mataifa? 2 Hii ni stahili yako. 1 Miongoni mwa watu wote wenye hekima 2 katika mataifa na katika falme zao zote, 2 hakuna aliye kama wewe. 1