Exodus 6:18
Wana wa Kohathi walikuwa Amramu, Ishari, Hebroni na Uzieli. Kohathi aliishi miaka 133. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
17Wana wa Gershoni kwa koo, walikuwa Libni na Shimei. 1
Cross References
Leviticus 10:4Mose akawaita Mishaeli na Elisafani, wana wa Uzieli mjomba wake Aroni, akawaambia, “Njooni hapa. Ondoeni miili ya binamu zenu mbele ya mahali patakatifu, mkaipeleke nje ya kambi.”
Numbers 26:57Hawa walikuwa Walawi ambao walihesabiwa kwa koo zao: 1 kutoka kwa Gershoni, ukoo wa Wagershoni; 1 kutoka kwa Kohathi, ukoo wa Wakohathi; 1 kutoka kwa Merari, ukoo wa Wamerari. 1
1 Chronicles 6:18Wana wa Kohathi walikuwa: 2 Amramu, Ishari, Hebroni na Uzieli. 1
1 Chronicles 23:12Wana wa Kohathi walikuwa wanne: 2 Amramu, Ishari, Hebroni na Uzieli. 1