1 Nyakati 16:10
Lishangilieni jina lake takatifu; 2 mioyo ya wale wamtafutao Bwana na ifurahi. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Glory ye in his holy name: let the heart of them rejoice that seek the LORD.
In Context
9Mwimbieni yeye, mwimbieni yeye sifa; 2 waambieni matendo yake yote ya ajabu. 1
11Mtafuteni Bwana na nguvu zake; 2 utafuteni uso wake siku zote. 1
Cross References
1 Chronicles 22:19Sasa itoeni mioyo yenu na nafsi zenu katika kumtafuta Bwana Mungu wenu. Anzeni kujenga Maskani ya Bwana Mungu, ili mweze kulileta Sanduku la Agano la Bwana na vyombo vitakatifu vya Mungu katika Hekalu litakalojengwa kwa ajili ya Jina la Bwana.”
2 Chronicles 15:15Yuda wote wakafurahia kile kiapo kwa sababu walikuwa wameapa kwa moyo wao wote. Wakamtafuta Mungu kwa bidii, naye akaonekana kwao. Kwa hiyo Bwana akawastarehesha pande zote.
Psalms 34:2Nafsi yangu itajisifu katika Bwana, 2 walioonewa watasikia na wafurahi. 1
Proverbs 8:17Nawapenda wale wanipendao, 2 na wale wanitafutao kwa bidii wataniona. 1
Isaiah 45:25Lakini katika Bwana wazao wote wa Israeli 2 wataonekana wenye haki na watashangilia.
Jeremiah 9:23Hili ndilo asemalo Bwana: 1 “Mwenye hekima asijisifu katika hekima yake, 2 au mwenye nguvu ajisifu katika nguvu zake, 2 wala tajiri ajisifu katika utajiri wake, 1