1 Nyakati 16:9
Mwimbieni yeye, mwimbieni yeye sifa; 2 waambieni matendo yake yote ya ajabu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Sing unto him, sing psalms unto him, talk ye of all his wondrous works.
In Context
8Mshukuruni Bwana, liitieni jina lake; 2 wajulisheni mataifa yale aliyoyatenda. 1
10Lishangilieni jina lake takatifu; 2 mioyo ya wale wamtafutao Bwana na ifurahi. 1
Cross References
1 Chronicles 16:24Tangazeni utukufu wake katikati ya mataifa, 2 matendo yake ya ajabu miongoni mwa mataifa yote. 1
Psalms 71:17Ee Mungu, umenifundisha tangu ujana wangu, 2 hadi leo ninatangaza matendo yako ya ajabu. 1
Psalms 96:1Mwimbieni Bwana wimbo mpya; 2 mwimbieni Bwana dunia yote. 1
Psalms 145:4Kizazi kimoja kitasifia kazi zako kwa kizazi kingine, 2 watasimulia matendo yako makuu. 1
Psalms 145:12ili watu wote wajue matendo yako makuu 2 na utukufu wa fahari ya ufalme wako. 1
Matthew 26:30Walipokwisha kuimba wimbo, wakatoka wakaenda Mlima wa Mizeituni. 1 Yesu Atabiri Petro Kumkana (Marko 14:27-31; Luka 22:31-34; Yohana 13:36-38)