The Bible Software
bible.softwareIsayaIsaya 45 › Isaya 45:25

Isaya 45:25

Lakini katika Bwana wazao wote wa Israeli 2 wataonekana wenye haki na watashangilia.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

In the LORD shall all the seed of Israel be justified, and shall glory.

In Context

24Watasema kuhusu mimi, 2 ‘Katika Bwana peke yake 2 ndiko kuna haki na nguvu.’ ” 1 Wote ambao wamemkasirikia Mungu 2 watamjia yeye, nao watatahayarika. 1

Read all of Isaya 45

Cross References

Psalms 22:23Ninyi ambao mnamcha Bwana, msifuni! 2 Ninyi nyote wazao wote wa Yakobo, mheshimuni yeye! 2 Mcheni yeye, ninyi wazao wote wa Israeli! 1

Isaiah 41:16Utaipepeta, nao upepo utaichukua, 2 dhoruba itaipeperushia mbali. 1 Bali wewe utajifurahisha katika Bwana 2 na katika utukufu wa yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli. 1

Isaiah 45:19Sijasema sirini, 2 kutoka mahali fulani katika nchi ya giza; 1 sijawaambia wazao wa Yakobo, 2 ‘Nitafuteni bure.’ 1 Mimi, Bwana, nasema kweli; 2 ninatangaza lililo sahihi. 1

Isaiah 61:9Wazao wao watajulikana miongoni mwa mataifa, 2 na uzao wao miongoni mwa kabila za watu. 1 Wale wote watakaowaona watatambua 2 kuwa ni taifa ambalo Bwana amelibariki.” 1

Isaiah 65:23Hawatajitaabisha kwa kazi bure, 2 wala hawatazaa watoto ili wapatwe na majanga, 1 kwa kuwa watakuwa taifa lililobarikiwa na Bwana, 2 wao na wazao wao pamoja nao. 1

Acts 13:39Kwa kupitia yeye, kila mtu amwaminiye anahesabiwa haki kwa kila kitu ambacho asingeweza kuhesabiwa haki kwa sheria ya Mose.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 45:25

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 45:24Isaya 45