1 Nyakati 16:12
Kumbuka matendo ya ajabu aliyoyafanya, 2 miujiza yake na hukumu alizozitamka, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Remember his marvellous works that he hath done, his wonders, and the judgments of his mouth;
In Context
11Mtafuteni Bwana na nguvu zake; 2 utafuteni uso wake siku zote. 1
13enyi wazao wa Israeli mtumishi wake, 2 enyi wana wa Yakobo, wateule wake. 1
Cross References
Exodus 13:3Ndipo Mose akawaambia watu, “Ikumbukeni siku hii, siku ambayo mlitoka katika nchi ya Misri, katika nchi ya utumwa, kwa sababu Bwana aliwatoa humo kwa mkono wenye nguvu. Msile chochote kilichotiwa chachu.
1 Chronicles 16:8Mshukuruni Bwana, liitieni jina lake; 2 wajulisheni mataifa yale aliyoyatenda. 1
Psalms 19:9Kumcha Bwana ni utakatifu, 2 nako kwadumu milele. 1 Amri za Bwana ni za hakika, 2 nazo zina haki. 1
Psalms 78:43siku aliyoonyesha ishara zake za ajabu huko Misri, 2 maajabu yake huko Soani. 1
Psalms 111:4Amefanya maajabu yake yakumbukwe, 2 Bwana ni mwenye neema na huruma. 1
Psalms 119:20Nafsi yangu inataabika kwa shauku kubwa 2 juu ya sheria zako wakati wote. 1