1 Chronicles 16:13
enyi wazao wa Israeli mtumishi wake, 2 enyi wana wa Yakobo, wateule wake. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
O ye seed of Israel his servant, ye children of Jacob, his chosen ones.
In Context
12Kumbuka matendo ya ajabu aliyoyafanya, 2 miujiza yake na hukumu alizozitamka, 1
14Yeye ndiye Bwana Mungu wetu; 2 hukumu zake zimo duniani pote. 1
Cross References
Genesis 17:7Nitalithibitisha Agano langu kama Agano la milele kati yangu na wewe na wazao wako baada yako na vizazi vijavyo niwe Mungu wako na Mungu wa wazao wako.
Genesis 35:10Mungu akamwambia, “Jina lako ni Yakobo, lakini hutaitwa tena Yakobo, jina lako utakuwa Israeli.” Kwa hiyo akamwita Israeli.
Deuteronomy 7:6Kwa kuwa wewe ni taifa takatifu kwa Bwana Mungu wako. Bwana Mungu wako amekuchagua wewe kutoka mataifa yote juu ya uso wa dunia kuwa watu wake, hazina yake ya thamani.
Psalms 135:4Kwa maana Bwana amemchagua Yakobo kuwa wake mwenyewe, 2 Israeli kuwa mali yake ya thamani. 1
Amos 3:1Sikilizeni neno hili alilosema Bwana dhidi yenu, enyi watu wa Israeli, dhidi ya jamaa nzima niliowapandisha toka Misri: 1