The Bible Software
bible.software1 Nyakati1 Nyakati 16 › 1 Nyakati 16:8

1 Nyakati 16:8

Mshukuruni Bwana, liitieni jina lake; 2 wajulisheni mataifa yale aliyoyatenda. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Give thanks unto the LORD, call upon his name, make known his deeds among the people.

In Context

7Siku ile, kitu cha kwanza Daudi alichofanya ni kumkabidhi Asafu na wenzake zaburi hii ya shukrani kwa Bwana: 1

9Mwimbieni yeye, mwimbieni yeye sifa; 2 waambieni matendo yake yote ya ajabu. 1

Read all of 1 Nyakati 16

Cross References

2 Kings 19:19Sasa basi, Ee Bwana Mungu wetu, tuokoe kutoka mkononi mwake, ili falme zote duniani zipate kujua kwamba wewe peke yako, Ee Bwana, ndiwe Mungu.” 1 Isaya Anatoa Unabii Wa Kuanguka Kwa Senakeribu (Isaya 37:21-38)

1 Chronicles 16:34Mshukuruni Bwana kwa kuwa ni mwema; 2 upendo wake wadumu milele. 1

Psalms 78:3yale ambayo tuliyasikia na kuyajua, 2 yale ambayo baba zetu walituambia. 1

Psalms 145:5Watasema juu ya utukufu wa fahari ya ukuu wako, 2 nami nitatafakari juu ya kazi zako za ajabu. 1

Acts 9:14Naye amekuja hapa Dameski akiwa na mamlaka kutoka kwa viongozi wa makuhani ili awakamate wote wanaotaja jina lako.”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 1 Nyakati 16:8

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 1 Nyakati 16:71 Nyakati 161 Nyakati 16:9 →