1 Nyakati 16:18
“Nitakupa wewe nchi ya Kanaani 2 kuwa sehemu utakayoirithi.” 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Saying, Unto thee will I give the land of Canaan, the lot of your inheritance;
In Context
17Alilithibitisha kwa Yakobo kuwa amri, 2 kwa Israeli liwe agano la milele: 1
19Walipokuwa wachache kwa idadi, 2 wachache sana na wageni ndani yake, 1
Cross References
Genesis 13:15Nchi yote unayoiona nitakupa wewe na uzao wako hata milele.
Genesis 28:13Juu yake alisimama Bwana, akasema, “Mimi ni Bwana, Mungu wa baba yako Abrahamu na Mungu wa Isaki. Nchi ambayo umelala juu yake, nitakupa wewe na uzao wako.
Numbers 26:53“Watagawiwa nchi kama urithi kwa kulingana na hesabu ya majina.
Micah 2:5Kwa hiyo hutakuwa na yeyote katika kusanyiko la Bwana 2 wa kugawanya mashamba kwa kura. 1 Manabii Wa Uongo 1