Micah 2:5
Kwa hiyo hutakuwa na yeyote katika kusanyiko la Bwana 2 wa kugawanya mashamba kwa kura. 1 Manabii Wa Uongo 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Therefore thou shalt have none that shall cast a cord by lot in the congregation of the LORD.
In Context
6Manabii wao husema, “Usitabiri. 2 Usitabiri kuhusu vitu hivi; 2 aibu haitatupata.” 1
Cross References
Deuteronomy 23:8Kizazi cha tatu cha watoto watakaozaliwa nao wanaweza kuingia katika kusanyiko la Bwana. 1 Unajisi Katika Kambi
Joshua 18:4Chagueni watu watatu kutoka kwenye kila kabila. Nitawatuma hao watu kukagua hiyo nchi na kuniandikia mapendekezo ya mgawanyo wa urithi wa kila kabila. Nao watanirudia.
2 Kings 17:23hadi Bwana alipowaondoa kutoka kwenye uwepo wake, kama vile alivyokuwa ameonya kupitia watumishi wake wote manabii. Hivyo watu wa Israeli wakaondolewa kutoka nchi yao kwenda uhamishoni Ashuru, nao wako huko mpaka sasa. 1 Samaria Inakaliwa Tena
Nehemiah 7:61Wafuatao walikuja kutoka miji ya Tel-Mela, Tel-Harsha, Kerubu, Adoni na Imeri, lakini hawakuweza kuthibitisha kwamba jamaa zao zilikuwa uzao wa Israeli: 1
Hosea 9:3Hawataishi katika nchi ya Bwana, 2 Efraimu atarudi Misri 1 na atakula chakula 2 kilicho najisi huko Ashuru. 1