The Bible Software
bible.software1 Nyakati1 Nyakati 16 › 1 Nyakati 16:19

1 Nyakati 16:19

Walipokuwa wachache kwa idadi, 2 wachache sana na wageni ndani yake, 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

When ye were but few, even a few, and strangers in it.

In Context

18“Nitakupa wewe nchi ya Kanaani 2 kuwa sehemu utakayoirithi.” 1

20walitangatanga kutoka taifa moja hadi jingine, 2 kutoka ufalme mmoja hadi mwingine. 1

Read all of 1 Nyakati 16

Cross References

Deuteronomy 7:7Bwana hakuweka upendo wake juu yenu na kuwachagua kwa sababu mlikuwa wengi mno kuliko watu wengine, kwa maana ninyi ndio mliokuwa wachache sana kuliko mataifa yote.

Hebrews 11:13Watu hawa wote wakafa katika imani bila kuzipokea zile ahadi, lakini waliziona kwa mbali na kuzishangilia. Nao walikubali kwamba walikuwa wageni na wasiokuwa na maskani hapa duniani.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 1 Nyakati 16:19

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 1 Nyakati 16:181 Nyakati 161 Nyakati 16:20 →